Für deutsche Übersetzung klicke hier...
Machozi ya Ushujaa

Kwa taarifa zaidi au kama unataka kununua kitabu chake kamtembelee Aisha kwenye website yake.

 

Bonyeza hapa!

Maisha ya Familia Moja Inayovurugika kwa Mtu Mmoja

Story ya Aisha Athumani

Inaoneka familia yenye mama na watoto wawili. Mtoto wa kwanza Esha na wapili Shulea na mama yao akiwa kalala kwenye kiti anaumwa. Huku watoto wao wakiwa pembeni yake. Mama anawasimulia juu ya ugonjwa wake.

 

Esha baada ya kugundua tatizo la ugonywa wa mamake anamua kupambana ili kila kitu kiwe sawa.

Documentary ya mtunzi wa story - Aisha Athumani