Ripoti zangu kwa kiswahili

Karibuni! 

Katika sehemu hii nimeorodhisha ripoti zangu nilizoandika kwa kiswahili. Karibuni msome.

 

1. Ripoti ya kwanza baada ya miezi mitatu

2. Ripoti ya WATOTO TALENT SHOO

3. Ripoti ya Mradi wa kuchora

4. Ripoti ya kazi yangu TSE

5. Ripoti ya mwisho

6. Ripoti ya TSE

 

Marafiki zangu

Hapa kuna link za kufikia katika kazi na vitu vingine vya marafiki zangu.

 

Theatre Script ya "Salome"

Hii ni story ilitungwa na Teacher Oliver mwalimu mwenzangu na mwandika skript ni mwalimu mwenzangu mwengine Aisha.

 

Videos za Teacher Oliver - Amka!

Hapa mnaona video za muziki wa Teacher Oliver mwalimu mwenzangu wa TSE. Video mbili zilitengenezwa na Hamisi (Kazabuti Production) na zingine nilizitengeneza mimi.

 

Website ya Teacher Mors

Hii hapa ni website ya Teacher Mors wa TSE aliyefundisha Hip Hop TSE.

 

TSE

Kupata taarifa zaidi kuhusu TSE bonyeza hapa.

 

Website ya Teacher Oliver

Hii hapa ni website ya mwalimu mwenzangu Teacher Oliver anayefundisha Muziki, ngoma, kucheza na kuimba TSE.

 

Machozi ya Ushujaa

Hii ni story ya igizo linaloitwa MACHOZI YA USHUJAA ilitungwa na mwalimu mwenzangu Aisha na pia niliitafsiri kwa kijerumani. Hapa unapata taarifa zaidi.

 

Website ya Teacher Aisha

Hii hapa ni website ya mwalimu mwenzangu Aisha anayefundisha Maigizo TSE.